Wanafunzi wanaoomba kubadilisha vyuo, wanatakiwa kujaza fomu zifuatazo kwa usahihi na kuzituma ubalozini, kama ubalozi utaafiki maombi hayo maombi hayo (kwa wanafunzi wanao dhaminiwa na CSC) yatawasilishwa China Scholarship Council (CSC) kwa ajili ya kupaya kibali cha mwisho.
MAOMBI YA KUBADILI CHUO -TEB 1 | MAOMBI YAKUBADILI CHUO -TEB 2 |